KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 31, 2014

MPANGO KABAMBE WA KUTOKOMEZA VVU NA UKIMWI MKOANI RUVUMA


ADAM NINDI – SONGEA

Mkuu  Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka watalamu wa Afya kushirikiana na Wakunga wa Jadi katika kuzuia Maambukizi ya VVU na UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa Mtoto,

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuvuma amesema bila kushirikiana na wakunga wa Jadi zoezi hili la kuzuia Maambukizi ya VVU na UKIMWI kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto halite weza kufanikiwa,Wakunga wajadi ndio wanao kubalika zaidi vijijini pale panapo kosa huduma za Hospitali na Zahanati

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameya sema hayo katika Uzinduzi wa kampeni ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto sherehe zilizo fanyika katika mansipaa ya Songea chini ya ufadhili wa Water Reed

Maambukizi ya UKIMWI na VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto   ni asilimia 3,o% na Maambukizi kwa akina mama wajawazito ni asilimia 6.9 %  ,Dawa za kutumia kwa ajili ya kuzuia maambukizi zipo kila kituo cha Afya kazi kubwa ni kuelimisha

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema ana sikitishwa na tabia ya vijana kwa kupuuzi kwenda kujua afya zao kwa asilimia kubwa vijana wamekuwa na hofu kupima afya zao,kingine kilicho msikitisha mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ni wanaume kujisaidia ovo barabarani bila kujali watoto wanapita au wanawake ametoa rai kwa watendaji kuchukukua hatua kali kwa watu hao,

Aidha amepiga marufu kutupa chupa za maji,vocha zilizo kwanguliwa,na maganda ya matunda mbali mbali yasitupwe ovyo
 Ujumbe wa nyimbo mara zote huwa na mchango mkubwa katika kuelimisha Vijana kutoka Namtumbo wakiimba na kueleza Madhara ya kuto pima Afya yako
 Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Songea Lutavi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma katika uzinduzi wa kuteketeza VVU NA UKIMWI kutoka kwenda kwa mama kwa aslimia 3% hadi kufikia asilimi O
 Mgeni Rasimi Mkuu wa Mkoa Saidi Thabiti Mwambungu akipokea maelezo kutokkwa kiongozi wa Water Reed jinsi ya kuzuia maambukizi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
 Bango la kampeni ya kutokomeza maambukizi ya VVU na UKIMWI Kutoka kwa Mama kwendakwa Mtoto
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akizindua Mpango rasimi chini ya Water Reed wa kuhakikisha maambukizi mkoa wa Ruvuma yana kfikia sifuri au Yai

 Mara baada ya Kuzinduzi akiwa ameshika kitabu chenye kuonyesha mpango mzima wa kupambana na VVU na UKIMWI Mkoani Ruvuma
 Mkuu wa Wilaya ya Songea David Lutavi akimsindikiza Mkuu wa Mkoa katika ukaguzi wa Mabanda ya Maonyesho ambayo yalishugulika kupimia maambukizi ya UKIMWI NA VVU
 Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma kushoto Dr, Daniel Malekela akimwongoza Mkuu wa Mkoa Wa Ruvuma katika Manda
 Jambo ambalo lina shangaza katika Mkoa wa Ruvuma ni Mahuba kujaa Taka kuliko kiwango chake Hapo awali ilikuwa ukosefu wa Gari za Kuzolea lakini hivi sasa magari yapo ,Hizo taka zimezunguka Eneo lote la soko la Manzese Mjini Songea
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu  katika Uzinduzi wa Kutokomeza Maambukizi ya UKIMWI na VVU Alidai katika Hotuba yake uwezo wa kuzoa Taka Tunao hivyo swala la Taka Tusahau lakini hiyo ni hali halisi Toka alipo Hutubia Uma siku mbili Zilizo pita
 Kila Pembe ya Mazense ukipita Aidha uta pata manukato ya Harufu ya Uchafu au uta kumbana na Hali ya Kutapika kutokana na Uozo uliopo nini kifanyike wakati binadamu hawana njia nyingine ni kuvumilia kufanya biashara huku wakipata Madhara ona mwenyewe ni sikusemee
Maandamano ya ya kutokopmeza Maambukiki wakati hapo juu nako kuna takiwa kufanya maandamano ya kuzoa taka ,Viongozi wamejitahidi kuleta Magari nani alaumiwe
 Tafakari kutoka kwa viongozi ni Mhimu jee viongozi hawa waliopo jukwaani ni kweli wana fikiri jinsi ya kuwakomboa wanchi au wanaomba msaada kwa wananchi ili wawa saidie ?
 Dakitari wa Mkoa wa Ruvuma Dr, Daniel Malekela ana enda kasi na Asikari wa Mwavuli wa Rais Jakaya Mrisho Kikwete
 Ukimwona Mama au kuongozi Mwanmke mara nyingi hukerwa na Mambo yanayo jitokeza ya kuweza kupambana na Maradhi lakini kwa utafiti wa Haraka wanawake wana shindwa kufanya kazi kutokana na Mfumo Dume
 Katibu Msaadizi wa Mkoa wa Ruvuma Ndugu Tossi akitia sahihi kitabu cha wageni kuthibitisha kuwa naye atashiriki kutokomeza Maambukizi ya VVU na UKIMWI Mkoa wa Ruvuma
 Washiriki katika Kampeni ya Kutokomeza Maambukizi Kutoka kwa Mama kwenda Kwa Mtoto wakiwa wamevaa sare iliyo andikwa ZERO yani Mwisho wa Maambukizi
 Watendaji waandamizi wa Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma nao wali shiriki Uzinduzi Huo ulio fanyika viwanja vya Manspaa ya Songea
 Watoto wa Shule za Msingi wakisikiliza kwa Makini kuhusu maambukizi yalivyo Mkoa wa Ruvuma na jinsi ya kuepukana nayo
 Mkoa wa Ruvuma kimaambukizi una jitahidi kupunguza kimkoa ni asilima 6.5 na Kitaifa ni asilimia 7%
 Watu mbali mbali walishiriki uzinduzi huo jee ujumbe walio upata utafikishwa kwa wengine au uta ishia hapo hapo ni swali la kujiuliza
 unapo tembea una jua kifo kipo karibu kama huta weza kutumia kanuni za kujilinda kila hatua unayo piga angalia jinsi ya kuepukana na maambukizi
 Watoto hawa wana hitaji ulinzi wa kutosha ni kosa la jinai kwa duniani hata kwa Mungu kumlazimisha ngono mtoto mdogo hatimaye kumwachisha masomo, Watoto semeni HATU DANGANYI N'GOOOOO
Hawa hapa ni viongozi waandamizi katika utendaji wa kila siku kuhusu Afya za Binadamu jee wanapewa vitendea kazi kamili ili usiwe wimbo kuwa tuna Angamiza VVU na UKIMWI wakati hawana Vitendea kazi jamani tuwa saidie

No comments:

Post a Comment