KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, October 14, 2014

MAMULAKA YA VITAMBULISHO TANZANIA YA TUA MKOA WA RUVUMA

Viongozi ngazi za Mkoa wa Ruvuma  na wilaya wakiwa katika semina ya kuweza kufanikisha zoezi la kupata vitambulisho Vya Taifa
Viongozi wa Dini Mkoani Ruvuma wakiwa katika semina ya Vitambuliso vya Taifa wakipewa mikakati jinsi ya kuweza kuwahimiza waumini wao kufahamu faida za vitambulisho
Miongoni mwa washiriki wa semina ya vitambulisho vya Taifa ni Akina mama endapo uta waelimisha akina mama unaweza kufiksha ujumbe mbali zaidi
                                   Moja ya Vitambulisho vya taifa ni kama unavyo viona hapo juu
Viongozi wa Serekari waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
Viongozi wa Dini  waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
Viongozi wa wakurugenzi waliodhuria Semina ya Vitambulisho vya Taifa Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha ya Pamoja naMkurugenzi uzalishaji vitambulisho vya Taifa Paulo Philip Bwathondi wa kwanza kulia
mkuu wa wilaya ya Namtumbo Lutavi akiwa na kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Mihayo Msekhela wakijadili kuhusu vitambulisho vya Taifa vitakavyo
Mmoja wa Viongozi wa Dini ni Pamoja na Kiongozi wa Kanisa la KTT Mkoa wa Ruvuma Amoni Mwenda akifurahia Maelezo ya faida vya Vitambulisho vitaweza kuwa saidia wakulima kupata mikopo,kujua uchumi wa taifa na idadi ya watanzania, kuweza kutoa mikopo ya pembejeo kwa walengwa husika,hakuwa na uhakika kuwa wewe ni mtanzania

No comments:

Post a Comment