KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, October 2, 2014

MKUU WA MKOA WA RUVUMA SAID THABIT MWAMBUNGU AVUTIWA NA SHULE YA SEKONDARY BEROYA

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu akipokelewa na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Beroya pamoja na Kutunukiwa Kuveshwa Sikafu
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidsi Thabit Mwambungu akiwahutubia wa  Wanafunzi wa Sekondari Beroya kuwa waachane na anasa ambazo zita waingiza mahali pabaya
Wanafunzi wanao jifunza sayansi wakiwa mbele ya mkuu wa Mkoa kumweleza mafanikio waliyo yapata katika kujikita na masomo ya sayansi
Wanafunzi wa Beroya Sekondary wakiwa Mabara wakifanya majaribio mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa Makitaba ya Shule ya Beroya Sekondari akijionea jinsi shule ya Beroya ilivyo jitosheleza kwa Vitabu anaye Mpa kitabu ni Meneja wa Shule ya Secondary Mh, Sabasitiani Waruyuba
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabit Mwambungu akiangalia kwa makini jinsi Beroya ilivyo jitosheleza kwa vitabu
Mkuu wa Mkoa akikagua Saccos ya Shule ya Sekondary Beroya akiwa na Meneja wa Shule Hiyo
                                                            Saccos ya Beroya Sekondary
Shule ya Sekondari Beroya vile vile hujihusisha na mambo ya Michezo hapo Mkuu wa Mkoa akingalia vijana wanavyo jikita katika michezo

Wanafunzi wa Shule ya Beroya wakimwonyesha mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wanavyo weza kujua maswala ya Hali ya Hewa
                 Vifaa vya upimaji vya Hali ya hewa katika Shule ya Sekondary Beroya iliyoko Songea
Wanafunzi wa hitimu wapatao 176 wakiwa katika Mstari kumsikiliza Mgeni Rasimi Mkuu wa wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambugu akiwaasa watoto wa kike wazingatie Masomo badala ya Anasa
Wahitimu wa Shule ya Sekondari Beroya wakisikiliza Mawaza Mbalimbali kutoka kwa wageni mbalimbali
                                                               Beroya sekondari songea
                                                                     Beroya sekondari songea
                                                                  Beroya sekondari songea
                                                                    Beroya sekondari songea
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma akiwa katika Maafali ya Sita kwa wanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondarei Beroya
Wazazi walio hudhuria kutoka sehemu mbalimbali nchini tanzania kuja kushiriki katika Maafali ya Kidato cha Nne kwa wanafunzi wa shule ya Secondari Beroya
Wazazi walio hudhuria kutoka sehemu mbalimbali nchini tanzania kuja kushiriki katika Maafali ya Kidato cha Nne kwa wanafunzi wa shule ya Secondari Beroya
Wazazi walio hudhuria kutoka sehemu mbalimbali nchini tanzania kuja kushiriki katika Maafali ya Kidato cha Nne kwa wanafunzi wa shule ya Secondari Beroya
Wazazi walio hudhuria kutoka sehemu mbalimbali nchini tanzania kuja kushiriki katika Maafali ya Kidato cha Nne kwa wanafunzi wa shule ya Secondari Beroya
Meneja wa Shule ya Sekondary Beroya Sabasitia Waruyuba akimkaribisha Mgeni Rasimi katika Maafali
                        Wapiga Picha mbalimbali wakijiwekea ukumbusho wa matukio ya Maafali
Wanafunzi wa Shule ya Sekondary Beroya walio fanya Vizuri mwaka jana na kupata DV 1 Wakiwa na mkuu wa mkoa wa ruvuma Saidi Thabit Mwambungu

No comments:

Post a Comment