KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 29, 2014

WANAFUNZI WAMETAKIWA KUACHANA NA SIASA HAYO YAMEBAINIKA KATIKA MAAFALI YA SONGEA BOYS


Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.
Mwalimu Mkuu wa Secpndary ya Wavulana Songea  Mr sweke sweke ameya sema hayo katika Maafafali ya kidato cha nne wakati wakuhitimu watoto 72 badalaya ya wanafunzi 85 walio anza ,amesema lengo la wanasiasa ni kutumia daraja la wanafunzi katika kuingia katika madarka ni juu ya wanafunzi kuepuka na maswala ya kisiasa

Wanafunzi wa Shule ya Secondary ya Wavulana Songea  wa kiwakilishwa na mlemavu Ezekia Juma  ambao ni walemavu wa Macho wapatao wameiomba serekari vifaa kwaajili ya walemavu wa macho ikiwemo mashine ya kuandikia vitabu mbalimbali vya nundu  pamoja na kuwaongezea walimu rasimi wawalemavu, Katika hilo Mbunge wajimbo la Songea Emanueli John Nchimbi ameahidi kumusomesha mwalimu mmoja kwa ajili ya Walemavu
                                  Wanafunzi walemavu katika Shule ya Secondary ya Wavulana  Songea

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Secondari ya Wavulana Songea  Sweke Sweke amewataka wanafunzi kuacha kutumia na wana siasa kwani kufanya hivyo ni kujiharibia maisha yao ya baadaye baasda ya kuzingatia masomo watajikuta wakiimba siasa.
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali

Mgeni Rasimi katika Mafali hayo Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi amesema moja ya kero inayo wakabili wana funzi wengi katika shule za secondary ni walimu wa sayansi serekari ina fanya kila wawezalo ili kuhakikisha walimu wa sayansi wanatosheleza.

Mbunge wa Jimbo la Songea Emanueli John Nchimbi pamoja na kuahidi swala la walimu wa sayansi ameahidi pia kuleta gari kwa ajili ya Shule ya Sekondary ya wavulana Songea kwa haraka ili gali mhilo liweze kusaidia usafiri kwa wagonjwa na shuguli zingine.
 Meya wa Manispaa ya Songea Chares Mhagama akiwa na Mgeni Rasimi Katika Maafali ya Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondary ya Wavulana Songea Wakisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasimi Mbunge wa Jimbo la Songea Emanuel John Nchimbi
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Songea wakifanya Sarakasi wakati wa Maafali
 Wazazi wakiwa na Watoto wao katika maafali wanafunzi 72 walihitimu Masomo kidato cha Nne
 Wanafunzi wakiwa na Vyeti vya kuhitimu baada ya kupewa na Mgeni Rasimi Dr Emanuel John Nchimbi
Watoto napo Hupenda Kushiliki katika mafanikio ya Kaka zao wanapoi fikia mafanikio ya kumaliza kidato cha Nne

No comments:

Post a Comment