KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, October 2, 2014

WATU 325 WAPATA MAUMIVU BAADA YA KUNYWA TOGWA YENYE SUMU SONGEA

Wagonjwa wanao sadikika kunywa Togwa yenye sumu wakiwa hospitali ya peramiho kupata matibabu
Wagonjwa wapatao 325 wakiendelea kupata tiba ya kutoa sumu waliyo kunywa kwenye Togwa katrika kijiji cha Litapwasi Songea Vijijini
Kukaa huko kwenye kitanda siyo kupenda bali nikutokana na maumivu ya Tumbo baada ya kunywqa Togwa yenye Sumu
Ndugu na Jamaa wakiwa wame kusanyika kuja kuwaona wagogwa waliopatwa na tatizo la kunywa sumu kwenye Togwa wakati wa kusherekea kupata kwa kipaimara kwa watoto wawili
Mama akiwa amekaa kwa kitanda Hospitali ya Peramiho akiwaza kipi kilicho mfanya ajiunge na sherehe bila kualikwa na hatimaye kujikuta akiwa amelazwa peramiho bila ya yeye kujitambua ,Ana

No comments:

Post a Comment