KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, October 1, 2014

SHEIKH SONGEA AMWAGIWA TINDIKALI

Sheikh Nasibu Ally Lwambano aliye kaa mkono wa kushoto akiwa amevaa kanzu nyeupe amemwagiwa maji  yenye Tindikali na watu wasio julikana kijijini kwake kitanda Namtumbo Vijijni wakati akijiandaa kwenda kuswali alufajiri saa 10
Afisa upelelezi Mkoa wa Ruvuma akiwakilisha Tarifa za Uchunguzi ulio fanywa baada ya Sheikh Nasibu Ally Lwambano kumwagiwa Tindikali

No comments:

Post a Comment