KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, May 10, 2016

KILIMO CHA NYANYA KINA WEZA KUMUTOA MTU KIMAISHA

 Kilimo cha Nyanya hudharaulika lakini wenyeji wa m ina tegemea utulivu wa ubongo wako ukoje kuhusu mimeakoa wa Iringa na Njombe wao ni watalamu wa kujua faida ya Nyanya  .Garama ya ulimaji na matunzo ya Nyanya
 Unaweza kuona jinsi nyanya zinavyo weza kuzaa wewe kazi yako kubwa ni kuwa na maji ya kutosha dawa za za wadudu pia kuzingatia udongo unao panda bila kukosa mbolea ya samadi au mbolea kutoka kampuni ya YARA
Unapo nunua Mbegu za kupanda angalia neno ambalo limeandikwa SYNG'ETA Mbegu hizi mche mmoja huzaa nyanya 150  hebu fikili ukiwa na Eka moja utapata kiasi gani cha msingi ni kuchangamukia kilimo hicho ili utokane na umasikini

No comments:

Post a Comment