KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, May 2, 2016

MADIWANI WA MANSPAA YA SONGEA WATAKA UFAFANUNUZI KUHUSU FEDHA ZA USHURU KUTOKA NFRA SHILINGI MILIONI 800

Swala moja wapo la msingi katika maisha ni pamoja na kupumuzika baada ya kufanya kazi nzito hapo meya mstahafu Chares Mhagama akitafakali mambo mbali mbali ya maendeleo
Baraza la madiwani lime kuwa na wasiwasi na utendaji kazi wa Afisa Utumishi Manspaa ya Songea jee nini kifanyike
Madiwani wa Manispaa ya Songea wamewataka watumishi wa Manspaa ya Songea kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau mbalimbali
 Katika manspaa ya Songea wametaka kujua pia mikakati ya kuifanya Kituo cha Afya cha  Mji mwema kuwa Hospitali
 Mkurugenzi Jenipha Cristian akifafanua kuhusu mikakati ya kupandisha uchumi wa Manspaa ya Songea pamoja na nausafi
 Mkurugenzi akifafanua matumizi ya fedha za ushuru zilizo tolewa na NFRA kiasi cha shilingi milioni 800 fedha hizo zime tumika katika kutengeneza madawati shilingi milioni 168 shilingi milioni 100 kununua vifaa vya kituo cha afya Mji mwema na shilingi milioni 50 kutengeneza barabara katika mitaa mbalimbali ya manspaa ya Songea
 Madiwani wa Manspaa ya Songea wakitaka kujua mwewndelezo wa fedha za fidia  EPZ Kwa wananchi wa Manspaa ya Songea
Meya wa Manspaa ya Songea Mohamed Shaweji amesema fedha za fidia za EPZ ambazo ni zaidi ya shilingi Bilioni 2 zita lipwa na watu wenyewe wa EPZ kwa wananchi wa Eneo husika

No comments:

Post a Comment