KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, May 15, 2016

SERIKALI MKOANI RUVUMA IMEKEMEA VIKALI MAUAJI YANAYOTOKEA MKOANI HAPA KUTOKNA NA WATU KUJICHUKULIA SHERIA MKONONI.


Kaimu Mkuu wa mkoa wa Ruvuma  amesema Serikali Mkoani Ruvuma inalaani vikali mauaji yanayotokea Mkoani hapa kwa kuua watu watatu mfululizo ameomba mtu yeyote mwenye taarifa ya watu wanaousika na uporaji na kuua atoe taarifa kwenye Kamati ya ulinzi na usalama.Kaimu Mkuu wa Mkoa wa ruvuma Benson Mpesya ametoa kauli hiyo baada ya watu wasiojulikana kumuua mtu mmoja wa Jamii ya wafugaji aliyejulikana kwa jina la Masanja Urio ambaye alikuja kuuza Ng`ombe zake kwenye machinjio ya msamala manispaa ya Songea.Kaimu mkuu wa mkoa wa Ruvuma Benson Mpesya amesema kutokana na tarifa iliyo tolewa na mlinzi anaye Linda eneo la machinjio la msamala  .kuwa hisi police kuhusika na mauaji ya jamii yaw a fugaji serekali imelivalia njuga swala hilo na kuendesha upelelezi wa hali ya juu

Waandishi wa mkoa wa Ruvuma wakipokea tarifa ya mauaji ya jamii ya wafugaji songea
Mwandishi wa PST Gidioni Mwakanosya akiwa kwenye Press iliyo itishwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Ruvuma
                                                     katibu tawala mkoa wa Ruvuma

No comments:

Post a Comment