KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, May 24, 2014

HOTUBA YA ASKOFU MKUU WA JIMBO LA SONGEA YA WAFURAHISHA WAUMINI WA JIMBO HILONijambo la Furaha kuona Jimbo la Songea kupata Askofu. Hapo Mhashamu Askofu Damiani Denis Dallu akitoa baraka kwa waumini walio hudhuria Sherehe za Kumsimika kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo la kanisa katoliki
Watawa wa jimbo la Songea Wakipokea Baraka Kutoka kwa Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo la Songea Mhashamu Damian Denis Dallu katika kanisa katoliki la Songea
Maasikofu kutoka mikoa yote ya Tanzani walio Shiriki Sherehe ya Kumikwa Mhashamu Damian Denis Dallu wa kisiliza Mahubiri kutoka kwa Askofu Mpya wa Jimbo la Songea
Mhashamu Askofu Damian Denis Dallu akijiandaa kutoa Sakiramenti Takatifu kwa waumini walio hudhuria sherehe za kusimikwa kwa Askofu Damian Denis Dallu
Maskofu walio hudhulia Sherehe za Kusimikwa kwa Askofu Damian Denis Dallu wakiwa katika missa wakimwombea mwenzao wadhifa Mpya alio pewa kutoka kwa Baba Mtakatifu huko Vaticani
Nikaswaida ya waumini wa Kanisa Katoliki kupeana Salamu za Amani katikati ya Missa ,Hapo Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari akipeana Amani na Mtoto wa Kipapa katika kanisa la Katoliki
Maaskofu wakiwa katika ibada ya kusimikwa kwa Mhasham Askofu Damian Denis Dallu
Waandishi wa Habari habari mbalimbali kutoka Tanzania wakichukua Habari kuhusiana na Kusimikwa kwa Mhashamu Asikofu Damian Denis Dallu
Viongozi mbalimbali wa Ngazi za juu waki shuhudia kusimikwa kwa Mhashamu Askofu Mkuu wa Jimbo kuu la Mtakatifu Matiasi Kalemba Songea
RAS [Katibu tawala ] Mkoa wa Ruvuma wapili kutoka kushoto Hasani Bendeyeko akiwa katika kanisa Katoliki la Mjini Songea
Kamati ya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Ruvuma ikishuhudia kusimikwa kwa Mhashamu Damian Denis Dallu
Umati wa Watawa wa Mkoa wa Ruvuma wakiwa katika Maombezi Rasimi ya Kusimikwa kwa Mhashamu Askofu Damiani Danis Dallu
Mwonekano wa watawa wa mkoa wa Ruvuma wakiwa kanisani Songea

No comments:

Post a Comment