KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 22, 2014

MAMLAKA YA CHAKULA NA DAWA YAWANOA WAANDISHI WA HABARI WA NYANDA ZA JUU KUSINI

ADAMU NINDI – MBEYA
Mamulaka ya udhibiti wa chakula na dawa vipodozi na vifaa vya tiba kwa muda wa miaka tatu wameweza kutekeza bidhaa mbovu zenye thamani ya shilingi 4,828,571,204 [bilioni nne ,milioni mia nane ishirini na nane. laki tano sabini na moja elufu na mia mbili na nne]

Meneja wa TFDA Kanda ya Mshariki Emanuel Alphonce ameya sema hayo jijini Mbeya wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wandishi wa habari jinsi ya kujua bidhaa mbovu pamoja na kuepuka kutangaza bidhaa ambazo zina weza kuwa dhuru binadamu.

Meneja wa kanda ya mashariki akieleza dawa zilizo kamatwa na kuteketezw ni pamoja na daw.a za maralia walizo zigushi kwa kutumia maandishi ya Laifi badala ya Laefin pia dawa ya Ampicini capsles ya Gram 250 ambayo ndani yake baada ya kuweka dawa halisi uliwekwa unga wa viazi vitamu

Akielezea dawa ni nyingine ni dawa ya Quinine saphate ambayo badala ya kuwa na dawa kamili iliwekwa dawa ya Flagl ambayo kazi yake ni kuzuia kuhara na siyo kutibu maralia,Akieleza kuhusu vipodozi amevitaja kuwa ni Caro light ,dawa nyingine ni ya kuongeza maumbile ya Binadamu Hip lift up Massage cream dawa zote hizi zina leta ugonjwa wa kansa ya ngozi ,

Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya chakula na dawa Charys Ugullumu Amewaomba Wandishi Wa Habari kutoa elimu ya kina kuhusu madhara yanayo weza kutokea kwa kutumia bidhaa mbovu ,semina hiyo iliyo fanyika jijini mbeya ili husisha waandishi wa habari kutoka nyanda za juu kusini kwa mikoa ya Ruvuma.Mbeya,Rukwa na Katavi
 Waandishi kutoka Mkoa wa Ruvuma wakisikiliza kwa Makini Mada zinazo husu maswala ya Dawa na Chakula yaliyo tolewa na TFDA Mamlaka ya Chakula na Dawa
 Waandishi wa Habari wakiwa makini katika kufuatilia mafunzo yanayo tolewa kuhusu Matumizi halisi ya Dawa
 Mwanasheria wa Mamlaka ya Chaklula na Dawa Askali Mkude akifikilia jinsi ya kuwakilisha mada ya Chakula na Madawa   zinazo husu Matangazo ya Chakula na Dawa
 Mgeni Rasimi katika ufunguzi wa Semina ya Sheria ya Chakula na Dawa kaimu RAS wa Mkoa wa Mbeya Leonald Magachi
 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Charys Ugullumu akifungua Semina kwa Wandishi wa Habari na Wahariri wandamizi wa Vyombo mbalimbali  vya nyanda za juu kusini kuhusu kujua sheria za Matangazo semina iliyo fanyika jijijni Mbeya
 Waandishi kutoka Mkoa wa Ruvuma wakipiga picha na viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa  wakiwa jijini Mbeya
 Waandishi wa Habari wa Mkoa wa Mbeya nao wakiwa pamoja na viongozi waandamizi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa kutoka makao makuu jijini DSM
 Waandishi wa habari wa Mkoa wa Iringa walio shiriki semina ya kuhusu na muna ya kutoa matangazo yanayo husu matangazo ya Chakula na Dawa
 viongozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa wakiwa na wandishi wa Mkoa wa Katavi
 Waandishi wa Habari kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika semina inayo husu Sheria ya Matangazo ya Chakula na Dawa
Waandishi wa habari kutoka mkoa wa Mbeya walio shiriki semina  ya sheria za matangazo ya chakula na Dawa

No comments:

Post a Comment