KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 8, 2014

VITU AMBAVYO MUNGU AME SISITIZA NI KUTANGAZA NDOA ,HEBU TUONE NDOA YA DEOGRASIAS ODDO MAKITA MATEMBO

 Moja ya kumbukumbu ya Biharusi na Bwana Harusi ni zawadi ya kikombe waliyo toa kwa washiriki kwamba kila watakapo kunywa chai basi waone sura za Bwana Harusi na Bihasi
 Kamati iliyo fanikisha sherehe ya Ndoa ya Deograsia Oddo Makita Matembo na Helena Mumba Matembo ni hiyo safu inayo onekana hapo juu na hapa chini
 Vitu unavyo takiwa ujipange katika Maisha ni kuwa na sehemu ya kuishi hii ni Nyumba ya Ukoo wa Deodratiasi Oddo Makita Matembo ambayo iko Kimara Dar -es - es - Salaam
 Katika kudumisha Maadili ya Maisha ya Binadamu Kanisa Katoliki limeweka mashariti kwa waumini wake jinsi ya kuvaa mavazi jambo ambalo wazazi wengi huwa wana jisahau jee mtoto wako ana vavaa mavavi hayo
 Ukiwa na cheo chochote kile haijalishi kuwa mtumishi wa Mungu Injinia Boniface Njombe akiwa katika Kanisa la Roman Catholick akiwa kalibisha Maharusi kuingia katika kanisa la Ostabay jijini Dar - es - salaam
 Helena Mumba akiwa na mumewe Deograsiasi Oddo Makita Matembo wakiwa inje ya kanisa la Ostabay
 Maharusi wakiwa Kanisani wakingoja baraka ya Ndoa ili waanze maisha ya Mungu katika maisha yao
 Agano la ndoa ambayo hujulikana kama kiapo rasimi cha Ndoa[affidavit ]kipingamizi hiki kina toa haki kwa wanandoa kufuata sheria bila kumwonea mwenzie ,unapo mvisha pete mwenzio una kuwa hakika kuwa hakuna cha kuwa tenganisha isipo kuwa kifo tu  
 Masiha Oddo Makita Matembo akiwa kanisani Ostabay wakati mdogo wake akifunga ndoa katika kanisa la Ostabay Jijini Dar -es - salaam
 Moja ya Upendo unao onyeshwa Mara watu wanapo Funga ndoa huiga Tabia za Njiwa kumpenda Mwenzie hapo Deograsia Oddo Makita Matimbo akimlisha keki Helena Mumba ambaye sasa ni Mama Matembo
 Naye Helena Mumba ambaye alikuwa Mkristo amekubali kubali dini kutoka kwenye uislamu na kuingia Ukristo ,hii nisawa na mtu kumtolea damu mwenzie Helena amekubali kutoa damu yake kumpa Deograsia Makita Matembo .sasa ni kazi ya Mumewe kujua mwenzie amejitolea damu kwa ajili yake .Ikiwa na maana Helena Mumba Matembo amemkubali Deograsia Matembo kuwa moja ya kiungo chake hadi atakapo chukuliwa na Mungu
 Moja ya Kanununi za Kibantu ni bibi kupeleka keki kwa familia ya kiume yani familia ya Matembo hii ni kuonyesha upendo alio kuwanaobii harusi  kwa familia hiyo.Niwazi kuwa   atatumia uwezo alio kuwa nao kuhakikisha kila wakati familia haikai na Njaa
 Mke wa Masiha Oddo Makita Matembo akiwa na Furaha kuona Shemeji yake akifunga Ndoa
                                    Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari Adam Mzuza Nindi
 Mkurugenzi wa Blog ya Songea Habari Adamu Mzuza Nindi akiwa katika ukumbi wa Msasani Jijini Dar es salaa akisakata mziki na Mjomba wake Bwana Harusi Deograsia Oddo Makita Matembo
Mkurugenzi wa Songea Habari Adam Mzuza Nindi Akicheza Mziki na Bii Harusi Helena Mumba Matembo katika Ukumbi wa Msasani Jijini Dar - es -salaam katika sherehe ya kusherekea ndoa ya Deograsia na Helena anaye cheza naye ni mtoto wa dada yake wa mwisho
 Mtoto wa afisa biashara wa Manspaa ya Songea Ahamed Chares akijimwaga katika ukumbi wa Msasani
 Ona jinsi mambo yalivyo kuwa katika Ukumbi wa Msasani Jijini Dar - es - Salaam
 Wakati ma bi Harusi wakiwa Hanimuni katika Hoteli ya Kimataifa jijini Dar - es - Salaam
 Mheshim,iwa Diwani Matembo akiwa Kwenye Sherehe ya Mtoto wake Deograsia Matembo
 Maharusi wakiwa swimming pool kupunga upepo akiwa na mpambe wake
                           Hivyo ndivyo ilivyo kuwa Sherehe kulya wasemavyo Wangoni watu wanakula wanacho taka
                            Mabibi Harusi wakiji mwaga ukumbini huku vuvu zella zikipulizwa
                                                                Mambo ukumbini
                                                Familia ya kiume ikiji tambulisha
                               Kiapo cha Bibi Harusi na Bwana Harusi katika kanisa la Ostabay bonyeza play uone mambo
 Uvishwaji pete kati ya Deograsia Oddo Makita Matembo na Helena Mumba Matembo
Hayo ni mambo ya Digitali ona mwenyewe

No comments:

Post a Comment