KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, May 29, 2014

WAFANYA BIASHARA WAITAKA POLICE KUFUNGUA JENGO LA DAWATI LA POLICE WANAWAKE RUVUMA

 RPC Kamanda wa POLICE wa Mkoa wa Ruvuma Akilimali Mpwapwa akieleza umuhumu wa Dawati la POLICE Wanake linavyo weza kusaidia jamii ikiwa na pamoja na kupunguza ukatili wa Kijinsia.Aidha  wadau wa Dawati la Police wanawake wamemtaka kamanda kufungua huduma hiyo katika jengo hilo, Kamanda wa Police Akilimali Mpwapwa amesma jengo hilo lita anza kazi katika ya mwezi wa sita mwaka huu
 Afande Fadhila Chacha akimkaribisha kamanda wa police Akilimali Mpwapwa tayari kwa kuzungumuza na wadau wa Dawati la Wanawake
 Kamanda wa police mkoa wa  Ruvuma la Akili Mali Mpwapwa  akikagaua eneo la Dawati la Police Wanawake  kutoka kushoto ni Anna Tembo kulia ni Denesi 
 Mfanyabiashara Issa Mwilamba kulia amejitolea kupaka Rangi jengo la Dawati la Police Wanawake
 wadau mbalimbali waki kagua jengo la Dawati la Police wanawake Mkoa wa Ruvuma
 Picha ya Pamoja na Wadau wa Dawati la Police Wanawanake wakiwa na kamanda wa Mkoa wa Ruvuma
 Mdau wa Dawati la Police Wanawake Rose Haule akiwa mmoja wawachangiaji wa kubwa wa maendeleo Mkoani Ruvuma
 Kamanda wa Police Akilimali Mpwapwa akiwa na wadau kuhamasisha mchango wa kununua samani  kwa ajili ya kukamilisha vifaa vilivyo pungua katika ofisi hiyo
 Meneja wa Benk ya NMB Mkoa wa Ruvuma Rehema Nasibu akiliomba jeshi la Police kuwa wasiri kwa tarifa wanazo pewa na wadau ili kulinda Hadhi ya Jeshi la Police
Kamanda wa Police Mkoani Ruvuma aliye katikati akisisitiza jamii kuisaidia Jeshi la Police Katika kutoa habari za Uhalifu

No comments:

Post a Comment