KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, April 10, 2016

MKURUGENZI WA PADI ISSACA MSIGWA ATAKA MAHUSIANO MAZURI NA SEREKARIMkurugenzi wa shilika lisilo la kiserekari la PADI Shirika linalo hudumia wazee Issaca Msigwa amewaasa wanao toa Elimu ya kisheria kuwa na mahusiano  mazuri na viongozi wa Serekari

Mkurugenzi wa PADI Issaca Msigwa amesema hayo wakati akizungumuza na watoa msaada wa kisheria katika wilaya mpya ya wanging’ombe ,amesema nia ya Serekari kuanzisha mashirika ya siyo ya kiserekari ni kuunganisha nguvu ili kutatua changamoto zinazo wa kumba wananchi hivyo hakuna haja ya malumbano

No comments:

Post a Comment