KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, August 16, 2012

RAIS WA JAMUHURI YA MUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA MRISHO KIKWETE AZINDUA MFUKO WA MAENDELEO YA JAMII AWAMU YA TATU

Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Rasimi Mfuko wa Maendeleo ya Jamii [TASAF] kwa kubonyeza kitufe kuashiria ufunguzi Jumula ya shilingi bilioni 478 zita tumika katika awamu hii ya tatu

Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wananchi wa Dodoma wakati wa uzinduzi wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii awamu ya Tatu [TASAF]

Rais wa jamhuri ya Mungano Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiwa jijini Dodoma hapo anaonekana akienda kukagua mabanda ya maonye

Hawo ni mabinti wa Wadzabe wakiwa katika maeneo ya ngorongoro wakingoja mwenge wa uhuru

No comments:

Post a Comment