KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, August 10, 2012

WATANZANIA WANAO ISHI INJE YA NCHI WANATAKIWA WAFANYE NINI HEBU TUJIFUNZE

Rais wa Mwangaza Foundation Flora Komba ambaye Makao yake Makuu yapo Marekani akiwaasa wazazi kujitahidi kuweka uzazi wa mpango ili waweze kumudu kuwasomesha watoto wao

Rais wa Mwangaza Foundation Flora Komba akiwa amezungukwa na watoto Yatima mara baada ya kuwasili kutoka Marekani anako ishi

Nyumba ya Mlemavu Agines Nyoni ikikarabatiwa kwa kushirikiana na Mwangaza Faundation na Kanisa la Woodvell Alaince kutoka Marekani

Afisa Mahusiano wa Mwangaza Foundation Katunda Saidi akieleza jinsi wanavyo fanya kazi ,amesma zaidi ya Shilingi milioni 700 zimetumika kwa miradi mbalimbali

Mkurugenzi wa Kanisa la Woodvell Alaince Hessel Matt akiwa ana mfariji Agines Nyoni ambaye ajawahi kutoka nje zaidi ya Miaka 8 hapo nimara ya kwanza kuliona jua kwa mika yote nane alikuwa ana kaa ndani tu am,efarijika kuona ana pewa nyumba

Mama Mlemavu Agines Nyoni Mkaazi wa Lizaboni Mnspaa ya Songea aliye jengewa nyumba na Shirika la Mwangaza Foundation likishirikiana na kanisa la Woodvell Alaince Kutoka Marekani nyumba nyenye Thamani ya Shilingi milioni 11,700,000/=

Mkurugenzi wa Wanafunzi wa Kanisa la Woodvell Alaince Kris Harrs akielezea jinsi mpango mzima utakavyo kuwa katika kambi ya Mwenge mshindo itavyo kuwa baada ya kukamilika



Ninjia moja wapo ya kufanya mazoezi kihistoria hakuna mtu hapa duniani anaye penda maji kama Mzungu Ona anavyo furahi kuona fedha zao zime tumika vizuri

Mwanafunzi kutoka Marekani akifurahia utokaji wa Maji

Kisima cha maji chenye urefu wamita 100 ambacho kimegharimu kiasi cha shilingi milioni 45 kwa ajili ya makaazi ya watoto

Eneo la mwenge mshindo lenye ukubwa wa ekari 25 linalo tarajiwa kujenga shule ,zahanati na makaazi ya watoto

Kikundi cha watu 19 kutoka kanisa la Woodvell Alaince wakikagua Eneo la Mwenge Mshindo ambako kuna Takiwa kujenga kambi la watoto wanao ishi katika mazingira Hatarishi ujenzi utakao gharimu fedha za kitanzania bilioni 3

Akina mama wa Kanisa la Woodvell Alainnce la Marekani wakibadirishana mawazo kuhusiana na watoto wanao ishi katika maisha hatarishi kupata njia za kuwa fundisha

Afisa Uhusiano wa Mwangaza Faundation Katunda Saidi akichambua vitabu ili viwasaidie watoto katika masomo

Kanisa la Woodvell Alaince kutoka Marekani wakichambua nguo na watoto ilikuzipanga tayari kwa kuzigawa kufuatana na Umuri wao

Watoto yatima wakiwa Mjimwema wakifarijika baada ya kanisa la Woodvell Alaince kuwatembelea mjimwema manspaa ya songea


watoto wanao ishi katika maisha hatarishi mkoani Ruvuma wakiwa na kikundi cha kanisa la Woodvell Alaince kutoka Marekani wakiwafariji watoto

No comments:

Post a Comment