KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, August 13, 2012

WANDISHI KATIKA ZOEZI LA KUTAMBUA MAENEO YA KUHESABU WATU KATIKA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Zoezi la kutambua maeneo ni kazi kubwa waandishi wa Habari wakiwa katika jiji la Iringa kutambua maeneo hapo dada akiwa ameshikilia kichwani baada ya kupanda milima na kuteremuka
Hiyo ndiyo hali halisi ya jiji la Iringa wandishi wakiendelea kutafua alama za uhesabuji hebu angalia Mawe na mabonde yalivyo hiyo ni Iringa
Ndugu yangu kama huja patwa na mkasa katika maisha yako lazima umshukuru mwenyezi mungu ,ndugu unaye mwona hapo juu ni Mwandishi Mkongwe kutoka Mkoa wa Lindi Mussa Chilungo amekuwa mlemavu ghafula alikuwa hapo awali alikuwa anaona lakini sasa ni mpofu.wandishi wahabari walio hudhuria semina ya watu na makaazi wameweza kumchangia shilingi laki nne
Wandishi wakiendelea kutambua maeneo ya kuhesabiwa katika mkoa wa Ruvuma
waandishi 140 kutoka mikoa mbalimbali wakiendelea kutambua maeneo ya sensa na makaazi ya watu

No comments:

Post a Comment