KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, August 8, 2012

JEE WATU WANALIONAJE SWALA LA MPAKA WA ZIWA NYASA

MTOA MAONI WA UPANDE WA KUSHOTO
By maingu z
ndo mwone sasa, kuwa kiongozi wenu alivyo dhaifu, kwa kupigwa mkwara na Mama wa malawi. Yule mama ni strong mara mia ya Jk wenu....haaaa haaaaa. ana msimamo na anaweza akawajambisha msimdharau kwani alidhubutu kumfukuza kazi mkuu wa polisi na jeshi sio wa mchezo ooooh!

MTANZANIA MWENYE NIA YA KUJENGA KUHUSU MGOGORO WA MPAKA WA ZIWA NYASA

Huu mgogoro haujafikia hatua ya mkuu wa nchi kujitokeza hadharani kuuzungumzia au kutangaza vita. Tukitaka kila mgogoro unaohusisha nchi nyingine basi rais atunishe misuli tutagombana na kila nchi.

Waziri wa mambo ya nje ameshazungumza msimamo wa Tanzania kwamba Malawi isitishe utafutaji wa mafuta na gesi mpaka hapo kamati inayoshughulikia huu mgogoro utakapo pata muafaka.

Sasa pamoja na hayo, mambo yanayohusu kujilinda na kulinda msimamo wa Tanzania uliotangazwa na Waziri wa Mambo ya nje lazima uzingatiwe na vyombo vya ulinzi na usalama kama jamaa zetu wataendeleza ujeuri

No comments:

Post a Comment