KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, August 30, 2012

JUMA NYUMAYO APATWA NA MSIBA MKUBWA SONGEA

Mwandishi wahabari Mwandamizi Juma Nyumayo akiwa kwenye mazishi ya Shemeji yake Mke wa Nasibu katika makaburi ya Mshangano Manispaa ya Songea

Nasibu Nyumayo akiwa anaingia kaburini ili kumzika mke wake ambaye alifarikikatika hospitali ya Mkoa Ruvuma

Ally Jaibu akitoa maelekezo baada ya Mazishi na kuweza kulishukuru jeshi la wananchi wa Tanzania kwa jinsi walivyo weza kushiriki kwa Hali na Mali

Watu wakiendela kuombeza kifo cha mrs Nyumayo huku wakiendelea kumimi nika kushiriki mazishi

Wazikaji wakiwa ndani ya Kaburi kuhakikisha Mwandani umekaa vizuri wakiongozwa na Nasibu Nyumayo mume wa Marehemu

Wanawake walio shiriki eneo la msiba wakikumbuka mwenzao walipo kuwa naye Hai

Waislamu waliswali sala ya Jeneza mbele ya nyumba Mama mzazi wa ukuoo wa akina Nyumayo

No comments:

Post a Comment