KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, September 4, 2012

WANA RUVUMA WA MKUMBUKA MWANDISHI SHUPAVU DAUDI MWANGOSIHayati Mwenyekiti wa Iringa Press Club akiwa na Jopo la Waandishi wa Habari Iringa watatu kutoka kushoto aliye vaa kisibau

Hayati Daudi Mwangosi alikuwa mtu mwenye kufikiri kila wakati huyo aliye inama ni Hayati Daudi Mwangosi akitafakari kuhusu Zoezi zima la Sensa na Makazi ya Watu akiwa iringa RUCOADAMU NINDI -SONGEA


Chama cha waandishi wahabari mkoani Ruvuma kimesitisha mahusiano ya kihabari na jeshi la Police mpaka uchunguzi utakapo fanyika kubaini chanzo cha mwandishi wa habari wa Daudi Mwangosio anaye tuhumiwa kuuwawa na jeshi la police Mkoani Iringa

Mwewnyekiti wa chama cha wandiahi wa Habari Mkoa wa Ruvuma Andrew Kuchonjoma amesma hayo katika kikao cha Dharura kilicho kite kutoa Tamko la Wandishi wa Habari wa mkoa wa Ruvuma kuhusu kujitoa katika shuguli yoyote inayo husu Jeshi la Police dhidi ya Kupinga mauaji yaliyo mpata Daudi Mwangosi akiwa kazini.

Mwenyekiti Andrew Kuchochonjoma amesema Jeshi la Police imekuwa mazoea kutumia silaha za moto kwa Raia badala ya kufuata kanuni ya kulinda Raia na mali zao. lakini silaha ina tumika kinyume na kanuni hizo .amesema hivyo nikiwa mwenyekitiRPC natangaza Rasimi kuvunja mahusiano na Jeshi la Police


Wandishi wa Habari kwa namnuna nyingine wameshangaa na nguvu za chama chasiasa kuweza kuwa na malumbano na dola kuna nini hadi kukiuka sheria zilizo wekwa na Dola tuta ilaumu serekari mpaka lini wakati usabaishaji upo bayana.

Wadau mbalimbali wa Habari Mkoani Ruvuma ambao hawakutaka majina yao yatajwe wamewaomba waandishi wa Habari kuthamini Roho zao kuliko kuhatarisha maisha yao .Wadau hao wamesema Vyama vya siasa kazi yake kubwa ni kuwaweka Raia na Waandishi wa Habari kuwa chambo ya kupandisha chaki ya vyama vyao huku raia na waandi wakiteketea

No comments:

Post a Comment