KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, December 10, 2013

KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO NA WANAWAKE SONGEA

 Mgeni Rasimi katika kilele cha siku 16 za kulaani ukaliu wa kinjinsia wa mama na mtoto Alfred Kasoro OCD wa Kituo cha Police songea akihutubia akina mama, Amesema haki ina tafutwa kama mtu ana fuata haki, Amesma watu wengi hasa Wanawake hukiuka haki kwa kutupa wato ,kutoa mimbi pamoja na kutenda vitendo vinavyo wa nyima haki ni juu ya kila mwanamke kuhakikisha analinda haki na ana kuwa Mlinzi za haki ya Mama na Mtoto
 Viongozi wa DMI Wakiongoza maandamo chini ya kiongozi wao Antony Joseph Mary wakiwa katika mtaa wa barbara ya SokoineSongea kuelekea ukumbi wa DMI
 Wanachama wa DMI Songea wakiwa katika ukumbi wa DMI kusikiliza maswala ya kijamii sheria na ukali dhidi ya mama unao fanywa na Jamii
 Maandamano yakiwa yame ingia katika barabara ya Delax 2  S ongeakuelekea ukumbi wa DMI
 Viongozi wa DMI  Songea wakiwa wame piga picha na watoa mada akiwemo mwana sheria Ndunguru,OCD  Alfred Kasoro na Mganga Mfawidhi wa Wilaya ya Songea Daniel
 Akina mama wa DMI  Songea Wakiwa na Hamasa ya kupinga ukatili wa kijinsia wakiwa katika Mandamano wa kipaza sauti ya kulaani vitendo vya unyanyasaji
 Mwonekano wa akina mama walio kusanyika ukumbi wa DMI Kulaani vitendo vya unynyasaji Mkoani Ruvuma hapo Kiongozi wa DMI  Antony Joseph Mary akiendesha sala malumu kulani vitendo vya Unyanyasaji

No comments:

Post a Comment