KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, December 9, 2013

WATOTO WENYE TATIZO LA MOYO MKOANI RUVUMA WAENDA KWENYE MATIBABU BAADA YA KUSOTA MUDA MREFU, SHUKURANI KWA WAZIRI STEVEN MASATU WASIRA KWA JITIHADA ZAKE

 Pole sana Selina Fussi[5] kwa Matatizo uliyo nayo, Mtazamaji Mtoto aliyoko kwenye Picha hapo juu Tayari yuko jijini Dar - es eSalaam Tayari kwa kwenda India Kutibiwa kutokana na Kutoboka kwa Moyo wake, Safari yake kutoka Songea aliyo ifanya tarehe 8/12/2013 imempa Changamoto hivi tunapo andika Habari hii yuko Mhimbili akipumulia Mashine kutokana na Miundo mbinu ya Usafiri,Tuombe Mungu afike salama India kwa Matibabu. Ikiwa una uwezo una weza kumutumia walao fedha ya kujikimu akiwa DSM Tuma fedha kwa namba za Simu  zifuatazo 0754269780 au 0755 061 588
 kijana Saimoni Mrope kutoka Songea ambaye naye ana sumbuliwa na Moyo naye nimiongoni mwa Watoto wanao kwenda kutibiwa India, ndugu mtazamaji usipo shukuru kidogo hata kikubwa huwezi kushukuru, Twasema viongozi wawe na moyo wa kujali watu wao nasema Mheshimiwa Waziri Steven Wasira ni kiongozi anafaa kuombewa amekuwa msitari wa mbele kugombea haki za Mama na Mtoto watoto hawa wamesota muda mrefu lakini habari ilipo fika kwake aka chukua Maamuzi kutoa Nauli ya kutoka Songea hadi Nchini India Mungu Amjalie
 Mratibu wa Afya ya Msingi kutoka Peramiho Songea Vijijini Abell Mapunda akimpa Pole Selina Fusi na kumtakia Safari Njema ya Matibabu Huko India
 Wakati huo huo aliweza pia kutoa Pole kwa Mtoto Saimoni Mrope[13]  ambaye naye ana Tatizo la Moyo na Kumtakia kila la heri katika safari yake
Mama wa Selina Fussi ,Asia Saidi Kanduru na Mama yake Saimoni Mrope Amina Ally wakiwa Studio za Star TV Songea kuaga na kuwa shukuru watanzani kwa Maombi yao

No comments:

Post a Comment