KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, December 7, 2011

MATUNDA MKOANI RUVUMA YA SHINDWA KUSINDIKWA

Embe unazo ziona hapo juu ambazo zinapatikana mwambao wa ziwa nyasa huitwa Embe Nyama na Embe Dodo ,Embe hizo huozea kwenye miti na kukosa walaji ,kama kunge kuwa na viwanda vya kusindika utajiri au kuwa kwamua kimasikini watu wanao ishi mwambao wa ziwa nyasa ungepatikana.


Mkoa wa Ruvuma ni moja ya mikoa yenye matunda mengi lakini matunda hayo hayainui uchumi wa mwananchi mara nyingi huonekana ni matunda yanayo tumika wakati wa njaa, Matunda hayo ni pamoja na Embe, Masuku, Midonga na Mifirisadi ya Poli,Hata Ubuyu ,Matunda hayo yote yana patikana Mwambao mwa Ziwa Nyasa Wilayani Nyasa.

No comments:

Post a Comment