KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, December 10, 2011

MLEMAVU ATOA ZAWADI KWA MBUNGE SONGEA VIJIJINI

Yesu alisema yaliyo ya kaisari mpe kaisari na ya Mungu mpe Mungu ,Kijana ambaye ni masikini mlemavu katika kusherekea miaka 50 ya uhuru wa Tanganyika alitoa zawadi ya shilingi mia moja kwa mheshimiwa Jenista Mhagama Mbunge wa Jimbo la peramiho,Hilo ni fumbo ina wezekana mheshimiwa ana himizwa kuwa saidia walemavu au ina wezekana walemavu kupitia malaika wanamshukuru mheshimiwa kwa mambo mazuri aliyo fanya kwa walemavu,

Kijana mlemavu katika kijiji cha Parangu Songea Vijijini akitoa zawadi kwa mheshimiwa Jenista Mhagama Mbunge wa Jimbo la Peramiho zawadi ya Shilingi miamoja huku akiwa na furaha isiyo na kifani


Mheshimiwa Jenista Mhagama akiweka Jiwe la Msingi la Zahanati katika kijiji cha Parangu songea vijijini Zahanati ambayo mpaka sasa imeghalimu shilingi milioni 37,500,000/= wananchi wakiwa wame changia 15,000,000/= Mh. Jenista Mhagama akiwa amechangia 2,000,000/= na H/ya wilaya ya Songea imechangia 20,000,000/=

Mheshimiwa Jenista Mhagama akitoa cheti cha usajili baada ya walemavu wasioona kusajiliwa kitaifa .

No comments:

Post a Comment