KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, April 7, 2014

MAPOKEZI YA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI KEVIN GEROLD MSEMWA MKOANI RUVUMA

 Asikari wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakiwa kiwanja cha ndege Luhuwiko wakingoja Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevn Gerold Msemwa kuwasili kutoka Dar  -es -Salaam
 Ndege iliyo chukua Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevin Msemwa ikiwa imewasili katika uwanja wa Ndege Songea
 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu akiwa na Wanajeshi wakati wakingoja Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevin Gerold Msemwa
 Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevin Gerold Msemwa ukitolewa kwenye ndege ya Jeshi la Wananchi Luhuwiko
 Maafisa waandamizi wa Jeshi la Wananchi Tanzania wakilinda Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevini Msemwa ukiwa uwanja wa Ndege Songea
 Asikali wa Jeshi la Wananchi wakiwa wamebeba Mataji tayari kwa kupamba Sandugu la Marehemu Meja Jenerali Kevin Msemwa
 Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevini Msemwa Ukipelekwa Kwenye Gari Tayali kwa kusafilishwa kupelekwa nyumbani kwake Fedfame
 Viongozi wa Kijeshi ngazi ya Makanali Wakiwa wame beba Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevin Msemwa
 Mila na Desturi za Afrika unapo fiwa nilazima ufungwe kitambaa cheusi hapo Wanajeshi wakifungwa vitambaa vyeusi
Mwili wa Marehemu Kevin Msemwa ukiingia Nyumbani kwake Ceedfamer
 Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Kevin Msemwa ukingia nyumbani kwake Ceedfamer  manspaa ya Songea Mkoani Ruvuma
 Nikawaida kuonyesha Marehemu alikuwa Dhehebu gani ishara ya Msalaba ni kuonyesha Marehemu Kevin Gerold Msemwe ambaye alizaliwa 6.6.1955 alikuwa Mkrito kamili kama unavyo onyesha Msalaba
 Maombelezo yanaongozana na kutia sahihi katika kitabu cha wageni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akitia sahihi kitabu cha Maombelezo
 Munazimu wa Jeshi la Wananchi Tanzania Luteni Jenerali Samweli Ndomba akitia sahihi kitabu cha maombelezo nyumbani kwa Marehemu Meja Jenerali Kevin Msemwa
Geneneza la Marehemu Jenerali Kevin Msemwa likiwa limewekwa nyumbani kwake Ceedfamer

No comments:

Post a Comment