KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, April 10, 2014

MWANDISHI MWANDAMIZI TOMATH LIPUKA AFARIKI DUNIA KWA SHINDIKIZO LA MOYO

 Katika maisha ya binadamu kuna sherehe tatu Kuzaliwa Kupata kipaimara na Kufariki katika mambo hayo yote nifuraha. Ndiyo maana kuna usemi usemawo Kazi ya Mungu haina Makosa. Ndugu yetu aliye vaa Suti Tomath Lipuka akiwa amekaa na Siteven Mango wakati wa kikao cha Ruvuma Press Katika ukumbi Ushirika ,Mungu amemuchagua yeye, Tomath Lipuka amefariki kwa Shindikizo la Damu [Moyo]
 Sister Tunzo akiwa amekakaa na Marehemu Tomath Lipuka aliye fariki dunia hapo tarehe 10/4/2014 majira ya saa 5.00 mchana katika Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma
Tomath Lipuka aliye vaa koti la Njano akiwa katika Kikao cha Ruvuma Press Club Amefariki Dunia,Mungu kamchagua yeye atangulie kupumuzika Mungu alitoa na Mungu amechukua ,Jina la Bwana lihimidiwe

No comments:

Post a Comment