KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, April 4, 2014

TIGO YA TAKIWA KUWA KUMBUKA WALEMAVU MIKOANI

 Mkuu wa wilaya Joseph Joseph Mkirikiti akipokea maelezo ya awali kabla ya uzinduzi wa huduma za Tigo kutoka Meneja Jackson Jerry waTigo kituo cha Songea
Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson Jerry  akimwezeaMkuu wa Wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkirikiti  kuhusu kupanuka kwa huduma za Tigo katika Mkoa wa Ruvuma, kuwa huduma za Tigo unaweza kupata huduma zote za kibenk
 Baadhi ya wateja wa Tigo wakiwa katika ofisi za Tigo kushuhudia uzinduzi wa Huduma za Tigo Mkoa wa Ruvuma
 Mkuu wa Wilaya ya songea Mkirikiti akipewa maelezo jinsi huduma zinazo tolewa aada ya Mteja kuibiwa au kupoteza laini ya simu na jinsi anavyo weza kurejeshewa
 Mkuu wa wilaya akiwa Mapokezi na kuona wahudumu waliopo wakitoa huduma kwa wateja


Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson Jerry akiendelea kumtembeza Mkuu wa Wilaya katika Ofisi za Tigo Songea

 Unawaona ni ni Viongozi wa Tigo wakiwa na Mkuu wa Wilaya baada ya kukata Utepe wa uzinduzi wa Ofisi za Tigo Mkoa wa Ruvuma
 Mkuu wa Wilaya Joseph Josefu Mkirikiti akifurahia huduma zinazo tolewa na Tigo hasa alipo onyeshwa simu za kisasa zinazo uzwa na Tigo
 Mkuu wa wilaya ya Songea Joseph Joseph Mkiriti akifurahia kadi malumu ambayo ina mfanya kuingia popote pale kupata huduma za Tigo bila kusimama Foleni
 Wateja wa Tigo walio huidhulia katika uzinduzi wakipewa Tisheti na Kofia na Mkuu waWilaya songea
 Meneja Mauzo wa Tigo  Mkoa wa Ruvuma   kelvin  Mibazi akielezea Faida ya kujiunga na mtandao wa Tigo


Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson Jerry akijibu maswali ya Wandishi wa habari kuhusu wateja wa mkoa wa Ruvuma wapo kiasi gani, amesema 75% ya wakazi wa Mkoa wa Ruvuma ni wateja waq Tigo Mkuu wa wilaya akiendelea kugawa Tsheti na Kofia za Tigo

 Mkuu wa Wilaya ya Songea akitoa Hotuba ya uzinduzi wa kituo cha Tigo Mkoani Ruvuma, amewataka wafanyakazi wa Tigo kuweza kuwa kumbuka wateja wa Tigo hasa walemavu pale wanapo toa zawadi mbalimbali ,kuliko zawadi hizo kiishia Dar - es- salaam
ak

Afisa uhusiano kutoka makao makuu Dar –es-salaam Jackson Jerry iendelea kufafanua huduma zinazo tolewa na Tigo zinavyo weza kumunufaisha Mtanzania

No comments:

Post a Comment