KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Sunday, April 20, 2014

MBUNGE WA JIMBO LA SONGEA AWAKOMBOA WANANCHI KWA KULETA MAGARI YA KUBEBA TAKA

 Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu akiwa na Mbunge wa Jimbo la Songea Dr. Emanuel John Nchimbi wakibadilishana mawazo jinsi ya kuweza kutatua kero za wananchi katika Mkoa wa Ruvuma
 Nikikao kizito kujadili Changamoto za Manspaa na za Mkoa wa Ruvuma ,Wakiwa asikari wa Mwavuli kuhakikisha swala la Maendeleo Mkoa wa Ruvuma Lina pewa kipao mbele, Kulia ni Mbunge wa Songea Mh. Dr. Emanueli John Nchimbi na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu
 Mbunge wa Jimbo la Songea Dr. Emanuel John Nchimbi akikata utepe ikiwa ni ishara ya kukabidhi magari matatu yaliyo fadhiliwa na Benki kuu ya Dunia kwa ajili ya kuzoa takataka katika Manspaa ya Songea
 Mara baada ya Kuya kabidhi magari hayo Wananchi wakishangilia aliye vaa shati Jekundu ni Meya wa Songea Chares Mhagama
Mbunge wa Jimbo la Songea  Dr. Emanuel John Nchimbi Amesema Mafanikio Ya Kupata Magari hayo yametokana na Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania Mh. Dr.Jakaya Mrisho Kikwete kusimamia maombi ya ufadhili kutoka Benk kuu ya Dunia akishirikiana na uongozi wa Mkoa wa Ruvuma.
 Mwonekano wa Magari hayo aina ya Issuzu yakiwa na Utepe kuonyesha kuwa ni mapya na yanauwezo wa kuzoa Taka bila wasiwasi cha Msingi ni wananchi kuunda kamati za kuwezesha kuzoa Taka kwa kujiwekea fedha kwa kila huba kusaidia Mafuta
 Mheshimiwa Mbunge  wa Jimbo la Songea Mh. Dr. Emanuel John Nchimbi akiliwasha gari aina ya Issuzu kuoinyesha Magari hayo ni Kamiri na Imara

Mbunge wa Jimbo la Songea Mh.Dr.  Emanuel John Nchimbi amewataka wananchi wa Manspaa ya Songea kuwa na tabia kuchukia Uchafu na kubuni mbinu mbalimbali za kukabiliana na ongezeko la Taka kwa kusimamia sheria walizo jiwekea.
Mbunge wa Jimbo la Songea Mh.Dr.  Emanuel John Nchimbi ameyasema hayo wakati akikabidhi magari matatu mawili makubwa kwa ajili ya kuzolea taka na Moja dogo kwa ajili ya matumizi ya Manspaa ya Songea yakiwa yame gharimu kiasi cha shilingi 478,986,584.00/=

 Gari dogo kwa ajili ya Matumizi ya Manspaa likiwa limepambwa tayari kwa kukabidhiwa kwa Manispaa ya Songea,

Mbunge Mh. Dr.Emanuel John Nchimbi amesema pamoja na mradi wa magari kukamilika swala la kuboresha miundo mbini ya Maji tayari limepatiwa ufumbuzi kwa kutengewa bilini moja katika bajeti ijayo,mbali ya miundo mbinu ya Maji mradi wa kujenga kilometa 15 katika manspaa ya Songea uko tayari.akizungumuza kuhusu Umeme katika kata ya Lilambo amesema serekari imeridhia kujenga Transfomer mbili
       Katika ghafula hiyo ya kukabidhi magari wananchi wa manispaa ya Songea wamemwomba Mbunge wao kuwakilisha kilio chao katika bunge la katiba  kuwa wao wana unga mkono kwa wale wote wanao taka serekari mbili

No comments:

Post a Comment