KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, November 18, 2015

MTOTO AOMBA MSAADA WA UPASUJI WA KICHWA KUTOKA NA KICHWA KUJAA MAJI SONGEA

 Mtoto Mosses Mgunda mwenye umuri wa miezi 10 mkaazi wa madaba anaomba msaada wa msaada wa fedha zitakazo weza kumsaidia upasuaji wa Kichwa ili kutoa maji yaliyo jaa ndani ya kichwa chake, Msaada huo anao hitaji nikiasi cha shilingi miliono moja ili zimsaidie nauli ya kwenda Dar es salaam akitokea songea mama huyu mpaka sasa ana shilingi 25,000 tu
Agneta Mgunda mama wa mtoto Mosses Mgunda ana watoto sita mmume wake baada ya kuzaa mtoto huyu mumewe  Juma Mgunda ametoroka na kumwacha mama na mtoto. Mpaka sasa mama huyu yko Hospitali ya mkoa yeyote atakaye kuwa tayari kumsaidia anaweza kutuma fedha kwa kutumia namba ifuatayo 0755 061 588 kwa mpesa au kupata maelezo zaidi.

No comments:

Post a Comment