KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, February 20, 2016

MADEREVA WA YEBOYEBO SONGEA WA ASWA KUTO KUCHUKUA WAKE ZA WATU SONGEA

RPC [Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Zuberi akiwa hakikishia waendesha pikipiki kuwa endapo wata fuata sheria Police ita walinda
RCO Malini akisikiliza kwa makini malalamiko ya waendesha yebo kuwa Asikari wa usalama barabarani wana wadai Rushwa jambo walilo ambiwa na Mkuu wa mkoa kuwa malalamiko yako ya fuate sheria kuanzia ngazi ya Mtaa
Mkuu wa Wilaya ya Songea Beson Mpesya akiwaeleza waendesha pikipiki kuacha maswala ya kuwa makuwadi ya kupeleka wake za watu katika gest house hiyo ni kujitafutia kifo
                       Waendesha yebo yebo wakisikiliza kwa makini hotuba ya mkuu wa mkoa
Umati wa vijana walio kusanyika kusikiliza hotuba ya mkuu wa mkoa wa Ruvuma akieleza jinsi wanavyo kiuka sheria watu wa Endrsha pikipiki
Viongozi wa Serekari kuanzia ngazi ya Mtaa hadi Makatibu Tarafa wa kipokea Maagizo kwa mkuu wa mkoa wa Ruvuma Said Thabiti Mwambungu kuhusu Kanuni wanazo zivunja watu wa
Kijana Mwendesha Pikipiki akikiri jinsi walivyo kuwa wakitumika kupeleka wanawake kwenye Gest House bila kujua walikuwa wakihatarisha maisha yao naku sema kuanzia sasa wata acha

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabi Mwambungu akiwaasa vija waendesha Pikipiki kuachana na biasha ambayo ina hata risha maisha yao ,Mkuu wa Mkoa ameyasema hayo baada ya kijana mmoja kuuwa kwa ajili ya ukuwadi ,Mkuu wa mkoa amewasa kuacha kuendesha pikipiki Muda ambao sirasi kwao kujitetea wanapo patwa na Adha

No comments:

Post a Comment