KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, February 4, 2016

MTANNZANIA MARA ZOTE HUWA WAMWISHO KUKIMBILIA FURUFA ZA KIUCHUMI SASA SEREKARI IMEKUWA WAZI VIWANJA VINA UZWA WILAYA YA NYASA MKOANI RUVUMA KWA BEI NAFUU WAHI SASA HIVI UPATE KIWANJA CHA KUWEZA KUMILIKI.SITAREHE HAZINA MWISHO JIWEKEE AKIBA YA KESHOHALMSHAURI YA WILAYA YA NYASA
TANGAZO KWA UMMA

UUZAJI WA VIWANJA KATIKA ENEO LA LIMBO JIRANI NA ENEO LINALOJENGWA
MAKAO MAKUU YA WILAYA YA NYASAMKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA NYASA ANAWATANGAZIA WANANCHI NA WADAU
WA MAENDELEO YA NYASA KUWA HALMASHAURI INATARAJIA KUUZA VIWANJA KWA
MATUMIZI YA MAKAZI PEKEE, MAKAZI NA BIASHARA NA MATUMIZI YA UMMA. VIWANJA
HIVYO NI VYA UJAZO WA JUU NA KATI.
Na. MATUMIZI BEI KWA MITA MOJA YA MRABA
1 Makazi pekee 1600
2 Makazi na biashara 1800
3 Matumizi ya umma (Nursery School) 1600

FOMU ZA MAOMBI ZITATOLEWA KWA TSH 20,000/= KWANZIA TAREHE 30/11/2015 MPAKA

TAREHE 30/12/2015 KATIKA MAENEO YAFUATAYO; OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI
WILAYA YA NYASA, MBINGA- MCB BANK, SONGEA- ZITAPATIKANA KATIKA HALMASHAURI
YA SONGEA. FOMU ZITATOLEWA KWANZIA 2:30 ASUBUHI HADI 9:30 ALASIRI.

FOMU ZA MAOMBI ZITALIPIWA KUPITIA NMB AKAUNTI Na. 61710002080 JINA LA AKAUNTI
DED-NYASA DEPOSIT A/C. PAY SLIP ZIREJESHWE KATIKA OFISI ZA HALMASHAURI YA
WILAYA YA NYASA KWAAJILI YA KUKATIWA STAKABADHI. (IKUMBUKWE KUWA ADA YA
MAOMBI HAIRUDISHWI)
FOMU ZA MAOMBI ZIREJESHWE KATIKA OFISI ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA NYASA
KABLA YA TAREHE 14/01/2016.
WOTE MNAKARIBISHWA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0752 409 546/0759 444 082
Jabir M. Shekimweri
Mkurugenzi Mtendaji (W)

No comments:

Post a Comment