KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, February 20, 2016

MIKOPO ISIYO KUWA NA MSIMAMO NI ADHA KWA FAMILIA

Jamii ya kitanzania ina takiwa kujifunza jinsi ya kukopa mikopo hapo Saccos ya changanikeni  ikiendelea kunyang'anya vitu mbalimbali  .Ndugu zangu tuwe makini na kitu kinacho itwa biashara jaribu kuchunguza kwanza kabla ya kuifanya biashara uliyo kopea
Hiyo ni shehena ya vitu vilivyo nyng'anywa kwa wateja walio kopa  Saccos ya Changanyikeni jee unge kuwa wewe upo na familia yako una nyang'anywa kitanda na vitu vingine utajisikiaje mbele ya jamii na familia yako kwa ujumula, jamani tujifunze shida haziishi mikopo rehani mara zote huweza kupoteza mali zawatu ,
Mikopo unapo kopa lazima uwe na  Malengo  Malumu .Mipango mabaya ndivyo  ndiyo inayo pelekea kwa mtu aliye kopa kumaliza fedha alizo kopa kwa kufanya sitarehe  Angalia vitu vinavyo teremushwa baada ya jamaa kushindwa kulipa mkopo malio kopa sasa sijui huko nyumbani kukoje 

No comments:

Post a Comment