KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, February 9, 2016

USAFI KATIKA MANSPAA YA SONGEA WAENDELEA


 Monika na Colether wakikumbatiana baada ya kupotezana mda mrefu wote ni wenyeji wa Peramiho Songea Vijijini

 Monica Nyoni akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Said Thabiti Mwambungu alipo mtembelea Ofisini kwake kuomba kuwa hudumia watoto katika Hospitali  ya Mkoa wa Ruvuma

Monica Nyoni akiomba kwa Mkuu wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu  kuchangia kwa kutoa huduma ya uji kwa watoto wanaolazwa katika Hospitali ya Mkoa ya Songea.
Pia ningeomba Barua ya kuweza kuwaomba Wafadhili wa Nchi ya Sweeden kusaidia katika Word ya Watoto na Wodi ya Wazazi (Martenity) katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Ruvuma,  Songea (HOMSO), 


 Mtanzania ambaye anaishi Sweden Monica Nyoni akishiriki kufanya usafi katika eneo la Mpambaloto Manspaa ya Songea
 Meneja wa Changanyikeni Alex akifanya usafi karibu na Saccos ya Changanyiken
 Alex bila kujali cheo alicho nacho cha Umejaja akisukuma Tololi kwa kwenda kuzoa Nyasi
 Watu wana munga Mkono Rais wa Jamuhuri ya Mungano John Pombe Magufuli kwa kufanya usafi kwa Nguvu zao zote
 Nijuhudi za kuufanya Manspaa ya Songea kuhakikisha Mji una kuwa Safi

 Eneo sasa lina onekana likiwa Zuri baada ya kufanya kazi kwa masaa saba bila kupumuzika
kazi ya mwisho iliyo baki ni kupanda maua kama unavyo ona mfadhili mtanzania kutoka Sweden mzawa wa Tanzania Monoca Nyoni ndiye aliye fanikisha kazi hii

No comments:

Post a Comment