KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, August 9, 2013

SIKU YA IDD SONGEA MKOANI RUVUMAShekh wa Masijidi  Huda  sheikh Shaban Chitete amewaomba Waumini wa Dini ya Kiislamu kuendelea kuomba na kuswali ili Mwenyezi Mungu aendelee kuleta  Baraka zake . Sheikh Shaban Chitete amewaasa Waislamu kuacha kuulazimisha Mwezi  kuandama hiyo ni kuonyesha udhaifu wakushindwa kufunga Ramadhani.Sheikh Yusuph Kambaulaya wa Dhehebu la Ahmadiya amewataka Waumini wa Dini ya Kiislamu kufuata Amri halali za Serikali iliyopo madarakani  ili kudumisha amani na utulivu tulionayo


Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.


Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.

Mzee Alhaji Mustafa Songambele akiwa katika swala ya Iddi Mjini Songea

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amewataka Waislamu kuendeleza mema waliyoyafanya katika Mwezi wa Ramadhani ili kuendeleza Amani na Utulivu tulionao.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu ameyasema hayo katika Msikiti wa Mjini Kati Songea wakati wa Swala ya Idd, amesema Tanzania imekuwa mfano katika Dunia kwa kudumisha Amani.

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu amesema hakuna Nchi Duniani ambayo inaweza kumwabudu Mwenyhezi Mungu na kuleta maendeleo  wakati  kukiwa na Machafuko.Waumikni wa Dini ya Kiislamu wameomba Vitendo vilivyoonyeshwa na waislamu wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani  viendelezwe na miezi mingine.

No comments:

Post a Comment