KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, August 2, 2013

NANE NANE YA FANA RUVUMA

 Hii ni hali halisi ya Nanenane katika mkoa wa Ruvuma kama unavyo ona Mhogo una lingana na Urefu wa Mtu karibu katika viwanja vya Nanenane ujipatie Mihogo kwa ajili ya kitafuno,Wakulima wa Mviwata  wa kijivunia Mihogo waliyo lima
 Mzee  Pasical Mwiname kutoka Madaba Songea Vijijini akionyesha Tangawizi walizo lima zikiwa na Ubora wa Kimataifa
 Mzee Pasical Mwiname akionyesha Tangawizi zilizo limwa mkoani Ruvuma
 Mkuu wa Wilaya ya Songea Mh. Joseph Joseph Mkirikiti akifungua Rasimi Maonyesho ya Nane Nane Kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Saidi Thabiti Mwambungu katika viwanja vya Masamala songea mjini
 Mkuu wa Wilaya Joseph Joseph Mkirikiti akikagua banda la Veta katika maonyesho ya Nane Nane Songea
Mjasilia mali kutoka Lwanda TANICOAL Katika maonyesho ya nanenane akiwa ameta Vyungu na Makaa ya Mawe yanayo weza kutumika kwa watu majumbani kwa ajili ya kupikia

No comments:

Post a Comment