KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, July 17, 2012

JAMII YA TAKIWA KUFUNGUA AKIBA KWA WATOTO

Na noel Stephen - Mpwapwa Dodoma

Wito umetolewa kwa wazazi wote nchini kujenga moyo wa kuwawekekeawatoto wao akiba mbali mbali za kimaisha ili wasipate taabu wanapoingia utu uzimaWito huo umetolewa na Meneja wa Bank ya NMB tawi la Mpwapwa BWANAHERMAN MASUKI hivi karibuni alipo kuwa akizindua mpango waAnkaunt maalum kwa watoto walio chini ya miaka kumi na nane ajulikayokama Finacial Fitness .

Bwana masuki alidai kuwa Wazazi wengi nchini hawana tabia yakuwawekea akiba watoto walio chini ya miaka kumi na nane kitu alichokisema kuwa kina leta shida pindi mtoto aingiapo utu uzima na kuanzaau anapo pelekwa shule kushidwa kugalamiwa masomo kutokana na wazaziwengi kuto kuwa na malengo ya badae kwa watoto waoBwana Musuki alidai kuwa wazazi waweze kuwa fungula watoto waoakaunti ijulikanyo kama junior account amabayo alisema kuwa niankunti iliyo wekwa mahususi kufundisha watoto njisi ya kuweka fedhakwa ajili ya matumizi ya baadae.

Pia “tukumbukle kuwa sisi hatuna mkataba na mungu je watoto wangapiambao tunawaona wazazi wao walikuwa na uwezo mkubwa wa kifedha lakinimala baada ya kufa wazazi wao tunawaona watoto wanapolwa mali nandugu wa marehemu na kubaki hawana kitu na kuwa watoto wa mitaani jewangewekewa akiba benki nani angewa dhurumu hivyo ndugu zangu tupendekujijengea tabia ya kuwawekea watoto akiba za maisha

”aliongea bwanaMasukiALISEMA kuwa Benki hiyo imeamua kuanzisha mpango huo kufuatia tafitimbalibali zilizo fanywa na maafisa ya benki hiyo na kugundua kuwawatoto wengi wanapata shida za kumudu gharama za maisha na masomokutokana na wazazi wengi kuto kuwa tabia za kuwawekea watoto waoakiba ya baadae.

Katika uzinduzi huo jumla ya watoto 327 walihudhuria harambeehiyo kutoka shule mbalimbali za wilya ya mpwapwa ambazo ni shule yamsingi Chazugwa,Ilolo, Mazae, Mpwapwa na Kikombo na kati hao niwatoto wacache tu walikuwa na akaunti za benki za watoto.

No comments:

Post a Comment