KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, July 11, 2012

MSD YA PATA LAWAMA MPWAPWA

Na noel stephen MPWAPWA

Imeelezwa kuwa kitengo cha usambazaji dawa Medical Store Departiment(MSD) ni chanzo cha hopspitali nyingi kulamikiwa na Watanzania hasaWateja wa Bima ya Afya na watu wengine kwa kuzidiwa na huduma zausambazaji wa dawa na kushidwa kufanikisha huduma hiyo kwa watejawake..

Hayo yamesemwa na watumishi pamoja na waganga wa Hospital yaBenjamini William Mkapa Wilayani Mpwapwa Mkoa wa Dodoma walipokuwawakiongea na NAIBU WAZIRI WA AFYA NA USTAWI WA JAMII Dk Seif RashidiMbunge(CCM) alipofanya ziara ya kikazi katika Hospitali hiyo.AKIONGEA mmoja wa waganga wa hospitali hiyo MUSA shielo alisemakuwa MSD imekuwa ni kikwazo kikubwa cha utendaji wa kazi katikahospitali nyingi nchini kwa kuleta dawa kwenye vituo tofauti nadawa ziliozo agizwa na hospitali au kituo cha Afya kitukinachopelekea wateja wengi wa huduma za bima za afya na

wagonjwawengine kuzilalamikia hosptali hizo na kuhisi kama kuna mianya yarushwa ndani ya utoaji wa dawa hizo.Alidai kuwa “utashangaa gari ya dawa limefika jana na limeshushadawa lakini mgonjwa anakuja unamwambia akanunue dawa atakuelewakweli? lakini MSD unaagiza dawa hizi unaletewa dawa zingine kwaniniMSD inawatesa watanzania wakati wanatumia pesa za wananchi wanyonge wanchii hii msd hupelekea wananchi kuichukia nchi yao na serikali yao”alisema dokta chieloAidha Mganga mfawawidhi wa hospitali ya wilaya hiyo

Bwana SigfridIshengoma alisema kuwa mbali na kutoa dawa kinyume na maagizo lakinikuna vifaa vingi ambavyo husambazwa na kitengo hicho kuwa havina uborawa kutosha “ vifaa tiba na baadhi ya dawa mfano mashine za kupimiapresha,pampu za kunyonyea uchafu wakati mwana mke anajifungua,uharibika kwa muda mfupi sana,

kama MSD ikizidiwa basi serikaliiangalie uwezekano wa kuanzisha chombo kingine cha kutoa huduma zadawa ili washindanishwe na MSD sasa hivi hufanya hivyo kwamaana wakopeke yao ndio maana huzembea ”aliongezea doka Ishengoma.Dk, SEIF RASHIDI alipofika katika Hospitalini hapo alikagua katikawadi za wagonjwa na alipoingia wadi ya wajawazito aliwakuta akinamama wamelala wawiliwawili katika kitanda kimoja kutokana na uhabawa vitanda katika wadi hiyo na ufinyu wa sehemu hiyo muhimu kwa kinamama kitu ambacho kinaondoa hata utu wa mwanamke katika swala zimala kujifungua.

AKIONGEA Dk. SEIF na watumishi na wagannga wa hospitali yaBenjamini Wliam Mkapa alisema kuwa serikali imejipanga kushughilikiakero zote za watumishi wa idara ya Afya kwa kuangalia vipaumbele naumuhimu wa mahitaji ya watumishi hao./

No comments:

Post a Comment