KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Monday, July 2, 2012

MTOTO ACHAPWA VIBOKO NA BABA WA KAMBO HADI KUPOTEZA FAHAMU

Mwenyekiti wa Mtandao wa Police Wanawake Anna Tembo akiwa na Familia ya Mtoto Safina Mkwama aliye chapwa viboko na Baba wa kambo Bathal Shawa aliye suka lasta akiwa pia na mama yake mzazi

Mama Scolasitika Njafula akiwa na Mme wake Bathali Shawa na Mtoto Safina Mkwama ambaye alichapwa viboko hadi Kuzirai

Bathal Shawa mzazi anaye tuhumiwa na Jeshi la Police kumpiga mtoto wake wa Kambo hadi Kupoteza Faham


Ndugu msomaji wa Blog hii nakuomba radhi kwa kukuonyesha majereha ya Mtoto Safina Mkwama hiyo unayo iona nimichirizi ya viboko, fimbo zenyewe ulitumika mwanzi usio kuwa na kiwango cha kumwadhibu mtoto, chanzo cha adhabu hiyo ni kupoteza shilingi 800/= aliyo tumwa kuuza mahindi

Mama mzazi wa Safina Mkwama akifarijiwa na mama yake wakati akimpa zoezi la kusimama kwa kuwa hivi sasa ni siku nne hawezi kukaa chini

Alicho sema Safina Mkwama ana juta kufariki kwa baba yake, anasema huyu baba wa kambo ana kaa kwenye nyumba tuliyo achiwa na baba mzazi ambaye amefariki lakini baba huyu ana tutesa vibaya

No comments:

Post a Comment