KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, September 1, 2011

SWALA YA IDDI MSIKITI WA SONGEA KATI

waumini wakisujudu katika swala ya iddi wakitimiza kanuni za Mwenyezi Mungu ,Kutoa zaka na kusimamisha swala picha na Adamu Nindi (ukitaka picha piga 0755 731 234 )



Akina mama wakiwa msikini wakati wa swala ya Iddi katika msikiti wa mjini kati manspaa ya Songea mkoa wa Ruvuma Picha na ADamu Nindi



waumini wa dini ya kiislamu wakiwa katika swala ya iddi katika msikiti wakati mjini Mkoani Ruvuma swala iliyo ongozwa na sheikh Abdala Chitete Picha na Adamu Nindi

No comments:

Post a Comment