KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, September 6, 2011









Maandalizi ya sherehe za mwenge zinandaliwa katika mkoa wa Ruvuma pia sherehe za Miaka 50 nazo zina andaliwa lakini hali ya Makao Makuu ya Mkoa yambayo ni Manspaa ya Songea ni Chafu kama unavyo ona hapo juu uchafu ukiwa umelundikana na Harufu zikiwa zime sambaa katika maeneo ya Bombambili,Mfaranyaki,na Soko kuu la Manspaa ya songea.




kulia ni picha ya Mkuu wa Masoko Songea akijaribu kujitetea jinsi atakavyo weza kushawishi uongozi wa juu kuweza kuli tatua tatizo hilo picha na Adamu Nindi - Songea.

No comments:

Post a Comment