KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, April 5, 2012

CHAMA CHA USHIRIKA MANISPAA YA SONGEA CHA PATA MAFANIKIO

Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Halmashauri ya Manispaa ya Songea Meck Mguhi akitoa maelekezo kwa Wajumbe wa Mkutano wa mwaka uliofanyika katika Ukumbi wa Saccos ya Walimu Songea Vijijini kushoto kwake ni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Mjumbe wa Mkutano wa Saccos ya Halmashauri ya Songea Martha Maongezi
aliyepata faida kupitia mikopo ya Saccos na kuweza kununua pikipiki, kujenga nyumba na kusomesha mtoto wake hadi chuo.

Wanachama wa Saccos ya Halmashauri ya Songea wakiwa katika Mkutano Mkuu wa Kawaida wa chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo uliofanyika katika Ukumbi wa Saccos ya Walimu Songea Vijijini Manispaa ya Songea.

No comments:

Post a Comment