KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Wednesday, April 4, 2012

WANANCHI MTUNDUALO WADAI FIDIA TANCOAL

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Said Thabit Mwambungu akiwaeleza wanchi wa Mtundualo wilayani Mbinga amesema Serekari inafanya kila jitihada kuona wananchi wa mtundualo wanafaidika na machimbo ya makaa ya mawe pamoja na kuhakikisha wana pata fidia kutokana na kuhamishwa maeneo wanayo ishi kuwepo na makaa ya mawe

wananchi wa Mtundualo wilayani Mbinga Mkoani Ruvuma wakisikiliza kwa makini maelezo ya Mkuu wa mkoa kuhusu wanchi kushirikiana na kampuni ya Tancoal katika ulinzi wa maeneo ya machimbo

Mwandishi wa Habari wa TBC Greison Msigwa akisikiliza kwa makini malalamiko ya wananchi wa Mtundualo kuhusu kupata fidia ndogo ambayo haikizi wao kuweza kuhama

Mbunge wa Jimbo la Mbinga Mashariki Gaudence Kayombo ambaye ndiye chanzo cha Serekari kuweza kuwekeza baada ya yeye kushirikiana na vyombo vya habari hasa Adam Nindi kutoka Star Tv kuuzima moto ambao ulikuwa ukiteketeza makaa ya mawe katika kijiji cha mtundualo wilani mbinga


kamati ya ulinzi na usalama katika kijiji cha mtundualo kusikiliza kero za wananchi kijijini hapo

1 comment: