KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, April 14, 2012

UNAKUMBUKA NINI KUHUSU PICHA HIZI ZA VIONGO MIAKA ILIYO PITA ?

Unapo taka kuzalisha viongozi nilazima waijue dini hapo ndani tunaye kiongozi mkubwa ambaye uongozi wake hufuata mapenzi ya Mungu na kupa mtihani msomaji umubaini mwenyewe

Chuo cha Liti Madaba kikiwa na wahimu wa kilimo na mifugo wakiwa na Mtalamu Anselimo Tarimo ambaye sasa amekuwa Rais kamili

Unaweza kuoona picha zina lingana lakini ukitazama kwa makini uta jua niwatu mbalimbali ambao wame piga na viongozi wao angalia kwa makini

siasa ni mchezo mzuri kama wanavyo sema wa henga jee una jionja nini unapo ona picha za Hapo juu ?

Kama nilivyo sema siku ya leo nawaletea viongozi walio fanya jitihada za kuleta maendeleo mkoa wa Ruvuma ,Sasa jee nani ata waiga hawa viongozi ili tuendelee zaidi ?


Hicho ni kikosi kazi kilicho buni mbinu mbalimbali za kuupandisha mkoa wa Ruvuma hadi kufikia hapa tulipo aliye vaa suti ya Buluu ni Mbunge wa Tanga Salehe Pamba wakati huo alikuwa Katibu Tawala Mkoa wa Ruvuma

Historia ni ndefu mama huyu baada ya kujifungua mapacha watoto watatu alitaka kunywa sumu lakini watanzania waliweza kumchangia mpaka akawa mashuhuru watoto wake sasa wana soma kwa bahati mzuri alijifungua tena mapacha watoto wawili Mungu awa bariki wal;e wote walio mchangia
Ndugu msomaji napenda kukumbusha mambo mema ambayo yameta mafanikio katika mkoa wa Ruvuma unawaona hapo juu ni wanafunzi katika Chuo chaKilimo na Mifugo cha LITI MADABA hao ndio walio leta ufaulu katika kilimo na ufugaji mkoa wa Ruvuma

No comments:

Post a Comment