KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Thursday, April 5, 2012

MWANAMKE SONGEA ABAKWA NA KUUWAWA

Kamanda wa Police Mkoa wa Ruvuma Maiko Kamhanda amewataka wanawake kuachana na wanaume wanawataka kufanya mapenzi kwa kuwapeleka porini hao hawana mapenzi kwao bali ni kutaka kuwatoa roho, kamanda ameya serma hayo baada ya mwanamke mmoja kuuwawa baada ya kubakwa

Naye Mwenyekiti wa Mtandao wa Police Wanake Mkoa wa Ruvuma Anna Tembo amelaani vitendo vinavyo fanywa na wanaume wasio kuwa na mapenzi ya dhati Mwenyekiti huyo ametoa ahadi mbele ya watu walio furika kushuhudia maiti ya bint huyo amewaomba watu kuitambua maiti hiyo

Maiti ya Binti aliye bakwa akiwa katika chumba cha kuhifadhia maiti mkoani Ruvuma

No comments:

Post a Comment