KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Saturday, April 14, 2012

MAWAZIRI WAKUU WAZURU KABURI LA KIPENZI CHA WATANIA HAYATI MORINGE SOIKOINEMoja ya kukumbuka kazi za Viongozi walio tangulia mbele za haki ni kuwaombea na kudhuru makabuli yao Hapo waziri msitahafu Edward Luwasa akiwa Morogoro kwa ajili maombi malumu ya Hayati waziri mkuu Edward Moringe Sokoine

Waziri mstahafu Edward Luwasa akiendelea kutoa baraka zake kwa waziri Mkuu aliye mwachia madaraka Mh. Mizengo Pinda walipo kuwa waki mkumbuka Hayati waziri mkuu kipenzi cha watu Edward Moringe Sokoine ambaye alifaniwa ibada marumu na askofu Tekphor Mkude

1 comment:

  1. Ndugu mwandishi wa habari hizi napenda kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kazi nzuri ambayokimsingi inalenga kupeleka taarifa kwa jamii,jambo ambalo ni jema sana!nakupongeza kwa dhati kabisa.
    Ushauri wangu kwako ili kazi yako izidi kufanikiwa na kubalika na siyo tu kazi bali hata wewe mwenyewe jamii ikutambue kuwa unastahili kuifanya kazi hii,jitahidi kupitia na kuhakiki habari zako hasa katika eneo la lugha kwakuwa umekuwa ukiandika maneno tofauti na vile yanavyotakiwa.Mfano katika habari ihusuyo mawaziri wakuu wazuru,...Hapo juu angalia makosa utabaini kile ninachokushauri!kumbuka habari hizi zinasomwa na watu wengi sana wenye upeo tofautitofauti.Najua yamkini hauna mhariri wa kazi yako kwa hiyo jifanyie uhariri mwenyewe kabla ya kutuma habari katika mtandao.Mwisho nakutakia kazi njema yenye mafanikio sasa na kwa siku zijazo!

    ReplyDelete