KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, November 18, 2011

DR ANSGAL STUFFE AKIWA KIJIJINI LUGAGALA SONGEA VIJIJINI

Mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho inayo milikiwa na Kanisa Katoriki Ansgal Stuffe OSB akiwa na jopo la wandishi wa habari kutoka kulia Mratibu Afya Hospitali ya Peramiho Abeli Mapunda ,wapili kutoka kulia Adamu Nindi,watatu kutoka kulia Mkurugenzi wa Hospitali Ansigal Stuffe wanne kutoka kulia katibu tarafa Digina Mhagama wa Mwisho Mosses Konala


mkurugenzi wa Hospitali ya Peramiho Dr Ansigal Stuffe akisalimiana na Afisa mtendaji wa kata ya Lugagala Taifa Mahundi alipo tembelea kuzindua mradi wa maji ulio gharimu shilingi milioni 80



Aliye kuwa nacho huongezewa ndivyo ilivyo kuwa kata ya lugagala mkurugenzi wa Halmashauri ya Songea akipewa kuku na wana kijiji cha lugagala songea vijijini

No comments:

Post a Comment