KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Tuesday, November 8, 2011

MCHANGO KWA WATOTO WANAO ISHI MAZINGIRA HATARISHI NI MHIMU

Tamasha la makanisa yaliyo chini ya Roman Cathoric yalifanya harambe katika uwanja wa majimaji na kuweza kupatikana shilingi milioni moja na laki moja mkuu wa mkoa wa Ruvuma Saidi Mwambungu alitoa 500,000/= na mkuu wa wilaya ya songea Tomasi Sabaya 500,000/= waumini laki moja

Askofu Norobet Mtega akihutubia wakati wa tamasha la makanisa ya undungu yaliyo chini ya Roman Cathoric katika uwanja wa majimaji mjini songea

No comments:

Post a Comment