KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, November 4, 2011

MASASI WA HANGAIKA NA MAJI

Adamu Nindi akiwa masasi na kushangaa karine hii kwenye mji mkongwe aliko zaliwa Rais Mstahafu wa awamu ya tatu Mh. Benjamini Wiliamu Mkapa wananchi wake wakiwa wame lala kwenye bomba la maji wa kingoja mgao wa maji.
Amini usiamini wakati tukisherekea miaka hamsini ya uhuru bado maeneo yana hitaji msaada wa serekari manisipaa ya masasi tatizo la maji ni kubwa kiasi watu wana lala kwenye bomba wakingoja wahusika watoe idhini ya lupewa maji. Songea habari ili zungumuza na kaimu meneja wa Maji taja na masafi Athumani Chubi amesema maji yanayo patikana nita za ujazo 1,260,000 na hitaji la watu ni lita 750,000 cha kushangaza kwa nini watu walale usiku kucha kwenye foleni ?

No comments:

Post a Comment