KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, November 18, 2011

WANAHARAKATI WA TGNP WAKIWA KATIKA SEMINA YA KUWA JENGEA UWEZO

Washiriki wa Majadiliano ya TGNP wakijadili fursa na changamoto zinazowakabili katika harakati za ukombozi wa Mwanamke Mkoani Ruvuma.Changamoto hizo zita tatuliwa endapo kutaanzishwa vituo vya kupeana habari kwa wana mtandao wa TGNPMwakilishi wa TGNP ndugu Bad Darus akitoa maelekezo kwa washiriki waliohudhuria majadilino ya pamoja juu ya mchango wa wanahabari katika harakati za kumkomboa mwanamke kimapinduzi kwa kwa wanawake wa mkoa wa Ruvuma.



Washiriki wa majadiliano ya pamoja juu ya kazi za TGNP katika Harakati za Ukombozi wa Mwanamke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza majadiliano hayo yaliyofanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa SACCOS ya Walimu Songea Vijijini .

Judith Lugoye akiwa mbele ya wanaharakati wa TGNP songea akieleza jinsi waandishi wa habari wanavyo weza kuunganisha vituo vya kupashana habari na wanaharakati wa TGNP Songea

Picha hapo juu ni za wawezeshaji kutoka TGNP Songea wakiwa wamewezeshwa na TGNP katika kutetea na kuzuia ukatili wa kijinsia picha ya juu ni Judith Lugoye na Picha ya chini ni Janet Fussi

Mwakilishi wawalemavu mkoani Ruvuma CHAVITA Asha Abdala akieleza jinsi ya kuunda mtandao wa vituo vya Habari kwa wanaharakati wa TGNP songea.

No comments:

Post a Comment