KILA WAKATI ANGALIA STAR TV NA KUSIKILIZA RADIO FREE AFRICA Matangazo

UKIWA NA TANGAZO TAFADHALI WA SILIANA NA SISI KWA NAMBA 0755731234 AU 0755061588
Tuna pokea Matangazo ya StarTV na Radio Free Africa. Wasiliana nasi kwa Email: adammzuza@yahoo.com au mzuzanindi@gmail.com | Simu: 0755 731 234 au 0655 731 234   kwa Mawasiliano zaidi unaweza kutumia NO 0755061588 Judith Lugoye ,shuguli zote za blog hii anaweza kukusaidia MATANGAZO , AU HABARI

Friday, November 4, 2011

MMOMONYOKO KATIKA MAKABURI YA MTANDA LINDI WAWA TISHIO LA MAISHA

Waliopo hapo juu ni baadhi ya watu wanao kwenda kila wakati kuona hali ya usalama wa makaburi wakihofia mmomonyoko amba una sababishwa na wachimbaji wa mchanga eneo la mtanda lindi
Shimo unalo liona limesababishwa na uchimbaji wa mchanga katika eneno la makaburi eneo la mtanda lindi. uchimbaji huo umeweza kusababisha vifo kwa watu watatu ,akiwemo Hamisi Madume ambaye aliangukiwa na jiwe kichwani na kufia hospitali ya lindi,oswald Hamisi alifukiwa na kifusi na kufa papo hapo jumula yao wapo watatu, mwenyekiti wa serekari ya mtaa wa mtanda serevesta simioni amesema juhudi la kutafuta eneo mbadala manisipaa ina tayarisha,

No comments:

Post a Comment